Wednesday, June 4, 2014
WEMA, KAJALA WAPATANA
Tuesday, June 3, 2014
KUWA MAKINI NA UNACHOPAKA USONI HASA KAMA USO WAKO NI WA MAFUTA!!..PIGA 0753482909
UKWELI KIFO CHA DENTI CHUO KIKUU
HATIMAYE familia ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo.
Akizungumza na Uwazi, mwishoni mwa wiki iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baba mdogo wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Mwigune alisema, taarifa waliyopewa na daktari aliyemfanyia uchunguzi inamaliza utata na minong’ono yote inayoendelea chuoni.
MBASHA: NDUGU ZANGU NITAJIUA
Upande wa pili wa shilingi! Kwa mara ya kwanza tangu ahusishwe na skendo ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, mume wa mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameibuka na kuzungumza na Uwazi katika mahojiano maalum dhidi ya kashfa yake hiyo huku akitishia kujiua.
Akizungumza kwa njia ya simu kwa zaidi ya saa moja mwishoni mwa wiki iliyopita huku akikanusha kukimbilia mafichoni baada ya kuondoka nyumbani kwake Tabata-Kimanga, Dar hivi karibuni, Mbasha ambaye pia ni mwimba Injili kama mkewe, alianika kila kitu akidai cha siri kwamba anajua anachezewa mchezo mchafu baada kuwepo kwa gogoro zito kati yake na mkewe hadi kutishia uhai wa ndoa yao.
Monday, June 2, 2014
ETO'O ASHANGILIA TENA KAMA KIKONGWE
DAU LA MAXIMO LAIHENYESHA YANGA, MANJI ASEMA ‘ATAKUFA NAYE’
![]() |
| Atakuja? Kocha wa zamani wa Taifa Stars, Marcio Maximo anatakiwa na Yanga SC |
Efm 93.7 REDIO YA MAPUNDUZI
Hakika hii Efm ni km imeshushwa kuleta mabadiliko ya redio Tanzania! Ni muda mfupi sana tangu ianze kusikika hewani lkn imekuwa midomoni mwa watu sana na kuwafanya wenye redio zingine kukosa usingizi wakijaribu kijipanga kwenda nayo sambamba!
Efm 93.7 ipo kikazi zaidi na hili limejidhihirisha kwa jinsi timu nzima ilivyojipanga, imebeba watangazaji mahiri, waandaaji wa vipindi walio makini na maDJ wanaoijua kazi yao vizuri, uongozi thabiti na usikivu murua!
Kwa mujibu wa uongozi, Efm itajishughulisha sna na mambo ya burudani, kwa hiyo km ww ni mpenda burudani usikae mbali vijanana ni wazoefu na gemu wanalijua vyema, haina ubishi utaburudika!
Uzindundizi wa Efm unafanyika katika wilaya tatu za Dar, jana wameanza na Temeke ambapo walianza na usafi wa mazingira wakishirikiana na wenyeji na baadae kufuatia na burudani katika viwanja vya Mwembeyanga!
Umati wa watu waliofika viwanja vya Mwenbeyanga unadhihirisha kuwa Efm imewashika mno! Lkn uzinduzi uliingia doa kidogo ambapo muda wa kufunga ulipofika kuna wahuni walileta fujo wakitaka burudani ziendelee mpk usiku kinyume na utaratibu! Jeshi la polisi lilikuwa makini walidhibiti hali hiyo.
Efm 93.7 hawataishia hapo, wataendelea na uzinduzi wilaya ya Kinondoni na Ilala!
Sunday, June 1, 2014
MAJAMBAZI YAUA ARUSHA
GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA
MWILI WA MAMA YAKE ZITTO, BI. SHIDA SALUM WASAFIRISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI
MAMA MZAZI WA MHE ZITTO AFARIKI DUNIA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto kabwe kupitia mtandao wake wa Twitter amearifu kuwa mama yake mzazi amefariki dunia leo.


