EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, October 28, 2013

Mikoa sita yaomba kuandaa Tamasha la Krismasi.

MIKOA sita imeomba kuandaa Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 mwaka huu.

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, wamepokea maombi kutoka kwa wadau mbalimbali wa muziki wa Injili nchini wakiomba lifanyike katika mikoa yao.

Aliitaja mikoa hiyo kuwa ni Mbeya, Mwanza, Arusha, Dodoma, Dar es Salaam na Shinyanga.

“Tunachofanya kwenye kamati yangu ni kupokea maoni kwa njia mbalimbali ikiwemo simu za mikononi kutoka kwa wadau wetu kwamba wapi wanataka tamasha lifanyike.

“Kwa kipindi cha wiki moja tumepokea maombi mengi kutoka kwenye mikoa hiyo na kesho (leo), ndiyo siku ya mwisho tuliyoweka kwa ajili ya kupokea maombi, baada ya hapo tutatangaza mkoa gani utakuwa wa kwanza,” alisema Msama na kuongeza: “Lakini si kupendekezwa tu na wadau ndiyo kigezo cha kupewa nafasi, lazima tuangalie na mazingira ya mkoa husika katika mambo ya matamasha,” alisisitiza Msama.

DIAMOND AFANYA KOLLABO NA DAVIDO WA NIGERIA

Picha inaonyesha akiwa studio na Davido tayari kurekodi Number One Remix. Video Itakuwa na mchanganyiko wa Dance ya Ngololo Na Skelewu.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVEO-cIpqrFh9_2cVdsATeDeuHuKCpBOrw-oCc7SQfcyAhnXcdqmcI_F92eXbgHDn-pQwTfauYyTQdN65oj9GxijGuGyY678dTmO7ef-tLRAtXU3TZLp7w6T8ZKeKuwwHZixtu7Oah-so/s1600/dd.jpg+2.jpg

KARIA ASHINDA MAKAMU WA RAIS TFF, AWAANGUSHA MADEGA, NASSIB


Wallace Karia amefanikiwa kushinda nafasi ya Makamu wa Rais wa TFF.

Karia ameshinda ameshinda nafasi hiyo akiwaangusha Iman Madega na Nassib Ramadhani.

PICHA ZA NANI MATANI JEMBE JIJINI MBEYA.

 Wasani wa kundi la chacharito group wakiwaburudisha wateja katika kampeni ya nani matani jembe kupitia bia yake ya kilimanjaro premiu lager inayo washindanisha mashabiki wa yanga na simba promosheni hiyo ilifanyika katika bar ya New SITY PUB iliyopo mwanjerwa jijini la Mbeya
 Wasani wa kundi la chacharito group wakiwaburudisha wateja katika kampeni ya nani matani jembe kupitia bia yake ya kilimanjaro premiu lager inayo washindanisha mashabiki wa yanga na simba promosheni hiyo ilifanyika katika bar ya New SITY PUB iliyopo mwanjerwa jijini la Mbeya.
 Shabiki wa simba akifurahia jezi ya timu yake baada ya kuzawadiwa na timu ya promosheni kupitia bia yake ya kilimanjaro premium lage katika kampeni ya nani matani jembe.
 Mteja wa bia ya Kilimanjaro kupitia kampeni ya nani mtani jembe akipuliza vuvuzela baada ya kuzawadiwa na mhudumu wa timu ya uhamasihaji wa kampeni hiyo .
Shabiki wa timu ya yanga Louis Smai toka South Africa akifurahia kuzawadiwa jezi akiwa kama mteja wa bia ya kilimanjaro premiu lager kupitia kampeni ya nani mtani jembe.

JAMAL MALINZI NDIO RAISI MPYA WA TFF

Kwa taarifa tulizozipata hivi sasa ni kwamba Jamal Malinzi ameshinda kitu cha urais wa shirikishi la soka nchini TFF baada ta kumshinda mpinzani wake Athumani Nyamlani. Pia Wallace Karia amewabwaga Iman Madega na Ramadhan Nassib katika kiti cha umakamu, kwa taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao huu.Habali kamili kuwajia bdae hapa.

Sunday, October 27, 2013

KINACHOENDELEA MSIBANI KWA BABA’KE WEMA MAREHEMU BALOZI SEPETU


 
Mama mzazi wa Wema akiwa na simanzi baada ya kuondokewa na mumewe mzee Sepetu.
 
Wema Sepetu akiwa katika hali ya majonzi baada ya kufiwa na baba yake mzazi.
Kajala Masanja (kushoto), Wema Sepetu (katikati) na Zamaradi Mketema (kulia) wakiwa katika hali ya majonzi nyumbani kwao Wema Sepetu, Sinza - Mori jijini Dar.

PICHA 41 ZA FIESTA 2013 VIWANJA VYA LEADERS DAR..ZIPITIE HAPA.

 Linah akikatika ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
 ( PICHA ZOTE NA 2JIACHIE,DAR )
 Wacheza shoo wa Linah wakifanya mambo ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
 Mwana dada Linah kiukweli kafunika sana.
Linah akikatika sambamba na Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
 Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Juma Kassim 'Sir Nature' akifanya vitu vyake stejini katika usiku wa Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Leaders Club.…
Amin ndani ya Serengeti Fiesta 2013.
Peter Msechu akifanya vitu vyake stejini.

BARCELONA YAUA CLASICO, NEYMAR NDIYO MBAYA WAO

NYOTA Mbrazil wa Barcelona, Neymar amekuwa na mwanzo mzuri katika mechi ya wapinzani wa jadi wa Hispania, 'El Clasico' baada ya kufunga bao katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Real Madrid.
Mambo yamekuwa tofauti kwa mchezaji ghali wa dunia, Gareth Bale ambaye alishindwa kuisaidia timu yake, Real Uwanja wa Nou Camp.
Bale alicheza kwa saa moja tu kabla ya kutolewa nje kipindi cha pili, ingawa alipambana sana na kufanikiwa kupiga mashuti kadhaa yaliyotoka nje ya lango la  Victor Valdes. 
Neymar alifunga dakika ya 19 na Alexis akaongeza la pili dakik ya 78, kabla ya Jese kuisawazishia Rela dakika ya 90.
Kikosi cha Barcelona: Valdés, Alves, Piqué, Mascherano, Adriano, Sergio Busquets, Xavi, Iniesta/Song dk77), Fàbregas/Alexis dk 70, Messi na Neymar/Pedro dk84.
Real Madrid: Diego López, Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo, Ramos/Illarramendi dk56), Modric, Khedira, Di Maria/Jese dk76), Ronaldo, Bale/Benzema dk61. 
Bundle: Neymar is surrounded by his Barcelona teammates after he opens the scoring against Real Madrid
Stunner: Alexis Sanchez put in a superb chip
Stunner: Alexis Sanchez put in a superb chip
Samba star: Neymar put in a brilliant display
Samba star: Neymar put in a brilliant display
Samba star: Neymar put in a brilliant display
Despair: Cristiano Ronaldo felt he should have had a penalty with the score at 1-0
Despair: Cristiano Ronaldo felt he should have had a penalty with the score at 1-0

MAN UNITED YATOKA NYUMA NA KUSHINDA 3-2, CHICHARITO SHUJAA.

MSHAMBULIAJI Javier Hernandez 'Chicharito' ametokea benchi leo na kuifungia bao la ushindi kwa kichwa timu ya David Moyes, Manchester United dhidi ya Stoke Uwanja wa Old Trafford.
 
Stoke walitangulia kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Crouch dakika ya nne na Robin van Persie akaisawazishia United dakika ya 43, kabla ya  Arnautovic kuwafunga la pili Mashetani Wekundu dakika ya 45.  
Wayne Rooney akaisawazishia United dakika ya 78, kabla ya Hernandez aliyetokea benchi dakika ya 68 kuchukua nafasi ya Cleverley kufunga la ushindi dakika ya 80.  
Kikosi cha United kilikuwa: De Gea, Smalling/Valencia dk76, Jones, Evans, Evra, Carrick, Cleverley/Hernandez dk68, Nani/Januzaj dk58, Rooney, Kagawa na Van Persie.  
Stoke: Begovic, Cameron, Shawcross, Huth, Pieters, Nzonzi, Palacios/Whelan dk70, Walters, Ireland/Adam dk82, Arnautovic/Wilson dk49 na Crouch.
Winner: Javier Hernandez celebrates his goal - giving Manchester United the win at Old Trafford
Turnaround: Wayne Rooney started the comeback with a glancing header
Turnaround: Wayne Rooney started the comeback with a glancing header
Relief: David Moyes cheers after the turnaround is completed
Relief: David Moyes cheers after the turnaround is completed

MAHAFALI YA KWANZA YA SHULE YA WAMA NAKAYAMA YATIKISA NYAMISATI RUFIJI‏

 
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wageni waalikwa na wahitimu wakati wa mahafali hayo jana huko Nyamisati Rufiji.
2
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Shule ya WAMA Nakayama Suma Mensa na viongozi mbalimbali.
4
Watu mashuhuri na viongozi mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo.
5
Mama Salma Kikwete akiwasili katika eneo la tukio kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa shule hiyo Dk. Ramadhan Dau.
1
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Salma Kikwete Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo WAMA wakati alipowasili katika viwanja vya mahafali katika mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari WAMA Nakayama yaliyofanyika katika shule hiyo iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani jana. Zaidi ya wanafunzi 60 walitunukiwa vyeti vya kumaliza kidato cha nne na zawadi mbalimbali zilitolewa kwa wahitimu wakati wa mahafali hayo ambayo yalihudhuriwa pia na viongozi na watu mashuhuri akiwemo balozi wa Japan na wafanyabiashara ambapo mwenyekiti wa IPP, Dk. Reginald Mengi aliahidi kuisadia shule hiyo shilingi milioni 200 kila mwaka kwa miaka mitano ambazo ni kiasi cha shilingi bilioni moja kwa miaka hiyo mitano. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NYAMISATI RUFIJI
5a
Wahitimu wakiingia katika eneo la tukio.
6
Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akicheza na wanawake wenzake ambao ni wake wa viongozi.

SHOO YA FIESTA DAR KUENDELEA SAA 9 ALASIRI LEO

Wasanii J Martins kutoka nchini Nigeria na Ommy Dimpoz wa hapa nchini wakilishambulia jukwaa la Fiesta leo alfajiri kabla ya hitilafu ya umeme kutokea.
BAADA ya shoo ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 jijini Dar kusimama kwa muda leo alfajiri kwa hitilafu ya umeme, itandelea tena saa 9 alasiri leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam bila kiingilio.

Akizungumza na baadhi ya mashabiki wa tamasha hilo waliokuwepo viwanjani hapo baada ya hitilafu kurekebishwa, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alisema kuwa shoo itaendelea saa 9 na wasanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Davido kutoka Nigeria, Mohombi kutoka Sweden, Nay wa Mitego na Bendi ya Twanga Pepeta watatoa burudani ya nguvu.

Aliongeza kuwa mashabiki wategemee 'sapraiz' kibao wakati wa shoo hiyo. Wasanii waliopiga shoo baada ya umeme kurudi katika hali yake ni pamoja na Kalapina, Chid Benz na Darasa japo mashabiki wengi walikuwa wameondoka viwanjani hapo.

Baba Mzazi wa mwanadada Wema Sepetu Afariki dunia.

Siku chache tu baada ya kuanza kurushwa hewani kwa kipindi halisia cha televisheni(Reality Show) yake, muigizaji, mrembo maarufu nchini Tanzania (Miss Tanzania 2006),Wema  A. Sepetu, amepatwa na msiba mkubwa. 

Amefiwa na Baba yake mzazi,Balozi Isaac Abrahamu Sepetu.

Taarifa ambazo bongomovies imezipata zinapasha kwamba Mzee Sepetu ambaye kwa muda wa miezi kadhaa sasa amekuwa akiugua na kusumbuliwa na maradhi ya kiharusi,. Mzee Sepetu alikuwa pia akisumbuliwa na kisukari.Amefariki jijini Dar-es-salaam. Mipango ya mazishi inafanyikia nyumbani kwa marehemu maeneo ya Sinza-Mori jijini Dar.

Balozi Sepetu aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje mnamo miaka ya 1970 wakati wa utawala wa awamu ya kwanza chini ya Mwalimu Julius Kambarag Nyerere.  Vilevile, aliwahi kuwa balozi nchini Urusi tangu mwaka 1982 wakati wa utawala huohuo wa Nyerere.

Pia, Machi 27, mwaka huu, Balozi Sepetu aliteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dr Mohammed Shein,  kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitegauchumi ya Zanzibar (ZIPA).
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.

Saturday, October 26, 2013

Ney wa Mitego apigwa marufuku na BASATA kuvaa mlegezo.

Ney wa Mitego ambae ni staa wa single za ‘muziki gani’ na ‘salamu zao’ amethibitisha kupewa barua na baraza la sanaa Tanzania ikiwa ni onyo la kutoendelea kuvaa suruali mlegezo kwenye majukwaa mbalimbali anayoonekana.

Kwenye interview yake na millardayo.com Ney amesema alipigiwa simu sana na namba moja lakini alikua amelala, alipoamka akakuta missedcalls nyingi so ikabidi apige ndio akaambiwa BASATA kuna barua yake ambapo baada ya kushindwa kwenda alipelekewa Manzese.

Ney anasema ‘sielewe kama BASATA ndio wameamua kudili na milegezo, sijaelewa wao wanaangalia nini zaidi, nimejaribu kuuliza wakasema nikiendelea watanifungia kazi zangu, ni kweli navaa mlegezo lakini kuna vitu vingi sana vya kufanyia kazi wao kama BASATA manake tunaibiwa kazi zetu kila siku mbona hawashughulikii hizo?’ mi tangu niko shule mlegezo ni tatizo langu kubwa ila nitajitahidi kupunguza japo nashangaa nimeandikiwa barua mimi mwenyewe wakati kuna wasanii wanavaa mlegezo hata kuliko mimi’
CHANZO MILLARDAYO.

AZAM TV KUJA NA MAKUBWA KWA WATANZANIA WOTE

 
 Azam TV inataraji kuwa hewani rasmi katikati ya mwezi Novemba na kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi ujao huku ikianza na Channel zaidi ya 35 Bureee na baada ya uzinduzi mteja atapata Channel 50+ kwa gharama nafuu ya 12,500/= tu kila mwezi. Azam Tv wanasema wao hawana ubaguzi wateja wote ni sawa na hakuna package maalum kwa watu maalum.
Azam TV offerings:
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington akifafanua mambo kwa waandishi wa habari mbalimbali waliofanya matembezi katika kituo hicho kipya cha habari za michezo na burudani kilichopo Tazara jijini Dar es Salaam kujionea maandalizi ya mwisho mwisho kabla ya kuanza kutrusha matangazo yake moja kwa moja. Kwa sasa kituo hicho chenye mkataba wa kurusha live mechi zote za Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara kinarusha kupitia Televisheni ya Taifa, TBC.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam TV, Rhys Torrington akionesha kwa wanahabari Kisumbusi
 Wanahabari walikuwa makini sana kufuatilia neno hadi neno
 Ziara ilinza na hapa C.E.O wa  Azam TV, Rhys Torrington aliwatembeza wadau
 Hizi ni meza za Huduma kwa Wateja, pindi wateja watakapofika AZAM TV kununua Visumbuzi vyao basi hapa ndipo watapokelewa na kupata maelezo yote muhimu.

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate