MSANII
nyota wa filamu nchini, Jaqueline Wolper anasema kuwa suala la mavazi
mara nyingi utegemea tukio au sehemu msanii anapokuwa.
Anasema kinachowapona ni picha ambazo huwekwa magazetini na kuwafanya waonekane 'waenda utupu' wakati ukweli picha hiyo ilipigwa klabu usiku wa manane.
"Mtanzania anapoiona picha gazetini, hajiulizi ile picha ilipigwa wakati gani na katika mazingira gani, anachojaji yeye ni namna ulivyo vaa bila kutafakari,"
“Labda na wenzetu wanaotupiga picha wangetusaidia kwa kutoa maelezo vizuri ya picha ili wasomaji wao wajue kuwa na sisi huwa tunavaa nguo hizo panapostahili,”anasema Wolper.
Wopler anaongeza kuwa katika mazingira ya kawaida huvaa vizuri tu akitolea mfano kanisani, kwenye hadhira kubwa ya watu, maofisini na katika mikutano mbalimbali.

Na Julieth Kulangwa Mwananchi: http://www.mwananchi.co.tz
No comments:
Post a Comment