EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Monday, July 2, 2012

Precision Air yarejesha safari zake jijini Arusha, yabadilisha muda wa kuruka Johannesburg

Precision Air-Shirika la ndege linaloongoza Tanzania leo imerejesha safari zake jijini Arusha kuanzia Julai 1 baada ya kusimamisha safari zake mapema mwaka jana kwa ajili ya kupisha ukarabati wa uwanja wa ndege wa Arusha iliyokuwa inaongezewa lami.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Biashara wa Precision Air Bw. Patrick Ndekana alisema kwamba shirika hilo la inafuraha kubwa kurejea Arusha baada ya ukamilikaji wa ukarabati wa uwanja nambari 27 wa kurukia uwanjani hapo ambayo itaruhusu ndege kubwa zaidi kutua na kuruka.

“Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba tutaanza kuruka kwenda Arusha mara tatu mpaka mara nne kwa wiki kuanzia Julai 1. Hizi safari zinatarajia kukomesha usumbufu ambao wateja wetu wa Arusha wamekuwa wakipata kwa kusafiri kwa gari kwenda na kurudi hadi uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kukamilisha safari zao,” alisema Ndekana.

Kurejea katika soko hili itaimarisha utalii kwa sababu kutakuwa kuna usafiri mrahisi wa kufikia jiji la Arusha ambayo inasifika sana kwa utalii.
 
Precision Air pia imejidhatiti kutoa mtandao maradufu kwa wateja wake ili kuweza kuwezesha shughuli za kijamii na kiuchumi kwa kuunganisha mikoa yote nchini Tanzania.

“Arusha ni moja ya miji mikubwa nchini Tanzania, ni nyumbani kwa mashirika yakimataifa na sehemu yanoyotokea makongamano makubwa, bila kusahau shughuli za kitalii. Mkoa huu kwahiyo unahitaji huduma ya usafiri wa anga uliobora na ambao tunamiini sisi Precision Air tunaweza kuitoa, kwahiyo tunapenda kuwa ahidi wateja wetu wategemee mambo makubwa kutoka kwetu,” alisema Ndekana.

Uwanja wa ndege wa Arusha imekuwa ikifanyiwa ukarabati kwa zaidi ya mwaka sasa ili kuweza kufanya uwanja mzima kutumika baada ya kuongeza lami. Marekebisho haya sasa yatawezesha ndege kubwa zaidi kutua na kuruka.

Wakati huo huo, Bw. Ndekana pia ametangaza kwamba kuanzia Julai 1 2012, shirika hilo litabadilisha muda wake wa kusafiri kwenda Johannesburg kutoka saa 10 na nusu jioni hadi saa 4 kamili asubuhi ili kuweza kuwapatia wasafiri urahisi wa kuunganisaha safari kwenda kwingine wafikapo nchini Afrika Kusini. 

Pamoja na mabadiliko hayo, shirika hilo la ndege pia itaanza kutoa huduma ya kuunganisha safari kutokea Johannesburg kwenda Kilimanjaro na Zanzibar kupitia Dar es Salaam ili kuweza kuwapatia urahisi watalii. Hii itafanyika mara 4 kwa wiki ambayo inamaanisha safari za Zanzibar na Kilimanjaro zitaanza kuhudumiwa na ndege aina ya Boeing, wakati ATR zikiendelea pia.

Ukiondoa Arusha, Precision Air pia inasafiri kitaifa kwenda Mwanza, Bukoba, Musoma, Kigoma, Kilimanjaro, Zanzibar, Mtwara na Dar es Salaam. Kimataifa Precision Air inasafiri kwenda Lusaka, Lubumbashi, Johannesburg, Hahaya, Nairobi, Entebbe na Mombasa. Via mrokim.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate