EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Friday, August 17, 2012

Ajali Mbaya yauwa watu 17 Nkasi Sumbawanga

WATU 17 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 38 wamejeruhiwa  vibaya baada ya gari aina ya fuso lenye namba za usajiri T 407 TAGO  kuacha njia  katika eneo la lenye  mlima na kupinduka katika kijiji cha Ntalamilia kilichopo katika wilaya ya NKasi Mkoani Rukwa.
Hata hivyo mara baada ya ajali hiyo  kutokea majira ya saa moja asubuhi majeruhi wa ajali hiyo walianza kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Rukwa majira ya saa 5 asubuhi kwa ajili ya matibabu huku wengi wao wakiwa wamepoteza fahamu kutokana  majeraha makumbwa waliyoyapata katika sehemu mbalimbali za miili yao.
Akizungumza na Gazeti hili kwa njia ya simu  kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa Bw Jacob Mwalaunda amekiri kutokea kwa ajali hiyo ambayo  imetokea leo majira ya saa moja asubuhi katika barabara ya Sumbawanga- Kate  iendayo wilayani Nkasi ,baada ya dereva wa gari hilo ambaye pia  ni mmiliki wa gari hilo aitwae George kanote (50)mkazi wa kijiji cha kate kumshinda  na kuacha njia na kisha kupunduka na kusababisha vifo  vya watu saba hapo hapo ,huku majeruhi wengine wakiongezeka kupoteza maisha kutoka na ajali hiyo.
 Kwa upande wake mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Rukwa Dkt Jasper Nduasinde amekiri  kupokea idadi kubwa ya majeruhi waliojeruhiwa vibaya  ambao bado hajajua idadi yao.
Kwa upande wa mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo Leonard Kopa licha ya kutoa ya gari lao  kutumika kutoa msaada kwa majeruhi wa ajali hiyo amevilalamikia vyombo vya ulinzi na usalama kwa kushindwa kufika kwa wakati mara baada ya ajali hiyo huku pia akisema kuwa namba za simu za bure zilizotolewa na vyombo hivyo muda wote hazipatikani jambo linalosababaisha ugumu wa utoaji wa taarifa. 
Lakini  dunia adaha walimwengu shujaa katika hekaheka za kupokea majeruhi pamoja na miili ya wale waliopoteza maisha  kutokana   na ajali hiyo  mama mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja ambaye alikuwepo katika eneo hilo la hospitali ya mkoa wa rukwa  alitumia muda huokwakuanzakumuomba mungu ili aweze kuwatia nguvu waliopotezandugu zao kutokana na ajali hiyo huku pia akikemea pepo mbaya anayesababisha ajali.
 Na Walter Mguluchuma- Rukwa yetu Blog
Sumbawanga

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate