

RPC Kelenge kulia akijadili jambo na RTO Willy eneo la tukio

Bus la muhamed trans lenye nambari T884 likiwa limepinduka

Lori lenye nambari T814 liliokua baada ya kugongwa na bus kwa kutokea nyuma.



Ajali
hii imetokea asubuhi ya jana majira ya saa moja kasoro ni eneo la
kyetema km 5 kabla ya kifika kemondo na ni umbali wa km 15 kutoka bukob
mjini. Baada kwa kuligonga lori la mchanga bus hilo lilikua likisafiri
kutoka bukoba mjini kuelekea Mwanza, na abiria wote wamenusurika!
Picha kwa hisani ya:-
Bukobawadau
No comments:
Post a Comment