Na Festus Pangani, Njombe -- Mtoto
Juliana Mwinuka wa kijiji cha Mbugani kata ya Mavanga wilayani Ludewa,
Njombe, anaomba msaada kwa wadau mbalimbali ili kumsaidia kupata
matibabu baada ya kuungua moto na hali yake ikiwa mbaya sana.
Mtoto huyo ambaye kwa sasa anaishi na bibi yake ambaye hana uwezo, baada ya baba mzazi kumtelekeza mara tu baada ya kupatwa na mkasa huo miaka miwili iliyopita.
Juliana ameishi katika maumivu hayo kwa miaka miwili na hana mtu wa kumsaidia kufanikisha matibabu yake.
Akauni kwa ajili ya michango ya fedha ni 6012300170 na kwa M-PESA ni 0755 008 038
via Njombe-Yetu.blogspot.com

No comments:
Post a Comment