Katika Makutano Show ya Magic FM Jumamosi hii, miongoni mwa watu
waliohojiwa ni pamoja na Ruge Mutahaba wa Clouds FM.
Katika interview hiyo iliyodumu kwa zaidi ya nusu saa, Ruge
amezungumza mengi kuhusiana na namna Clouds FM ilivyoanza, THT, namna watu
wanavyomchukulia sivyo kwenye muziki na issue ya Antivirus.
Sikiliza interview hiyo hapo chini.

No comments:
Post a Comment