Nimeona niandike hii kwanza labda itasaidia sana mambo yawasichana kutaka sana urafiki na mimi.
guys me sipendi urafiki kabisa na watoto wa kike , had a friend once ilini cost sana nilipotofautiana nae na because nilimuamini sana niliumia , that was high school , then from there on sitaki sana marafiki kusema za ukweli....sio mtu wa marafiki wala mtu wa mazoea ya ovyoovyo na wala siringi but sipendi tu najua matatizo yake hasa kwa watoto wa kike!!
i always miss my high school friends, they were dope yaani compared na ambao nakutana nao hivi karibuni , na kuhusu kuchagua marafiki nachagua sana wa kiume, this is not a joke but napatana sana na soudy brown gossipcpotz ,licha ya kunishauri alot about life but ni mpole , mstaarabu sana na ana imani ya dini kama mimi , so tunapatana sana na nadiriki kusema thats my best friend , he actually knows good and bad , knows if am not ok and when am ok!! na apart from kuwa my manager but he is good hearted , my mentor pia
tunapatana sana thats why hata tulipoenda Tanga he was the only person niliempeleka home akamsalimie my aunt and it was awesome and good sana. he such a friend like i never had
girls
got issues sana ambazo to me siwezi kabisa kukaa na hizo issues zao
,wengi wanapenda umbea ,kuongea vitu visivyowahusu, kusingizia mambo ya
ajabu coz me yaani nina atittude basi i have to stay away kabisa sehemu
penye wasichana hasa ambao wana tabia za kike ,ambao masaa24
wanazungumzia wanaume na jinsi ya kuwachuna , wanaokaa kusema wenzao coz
ikno na mimi nikitoka watanisema asa mi nikae nao wanini si bora nikae
na simu yangu busy na twitter
nahisi mind za wanaume ziko active compared na wasichana wengi wa mjini
kiukweli sihitaji marafiki................nahitaji marafiki wachache tena wa kiume wataoniambia which is good , which is bad
am Proud kujuana na soudy brown,b12,baba johny,dommy,faraja ,venture ,peter mo and the rest
feel safe around hawa my brothers
God
is good ..................kuwa my fan , be that and pliz endelea kuwa
hivyo na will make u happy in my show but nje ya hapo , my life is
different , very strictly and ku avoid that am always at home after work
and sina rafiki celebrity wa kike sina kabisa ukweli ndo huo.
and am totally avoiding girls sio wote lakini wenye drama wachache wakike ninaojuana nao wa kike wananitosha LOL
MONTHLY LETTER TO MY FANS
THANKU
Yours
Lovely Diva
CHANZO CHA HABARI www.diva255.com
No comments:
Post a Comment