GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu
akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu masuala
mbalimbali ikiwemo mfumo wa mawakala wa Benki hiyo wa kununua dhamana za
Serikali na hati fungani kwa njia ya mtandano(online) kwenye mnada na
hivyo kupunguza ule utaratibu wa dhamana wa kupeleka karatasi katika
Benki ili kupata huduma hiyo.

No comments:
Post a Comment