Ngao ya Hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 3-2
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Mkongoro Mahanga akimkabidhi Ngao ya Hisani nahodha wa Simba, Juma Kaseja baada ya kuifunga Azam FC 3-2 katika mchezo wa fainali uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 3-2. Mapato ya mchezo huo yataelekezwa katika shughuli za kijamii Hospitali ya Temeke.
Mashabiki wa Simba
Heka heka katika lango la Azama FC (Picha na http://francisdande.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment