Julieth William.
Na Gladness Mallya, Dar es Salaam
MISS Progress International 2010/11 anayechipukia kwenye filamu, Julieth William amepata shavu nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa watu wanaosaidia wasiojiweza.
Akichonga na paparazi wetu, Julieth alisema alipata mwaliko huo kutoka kwa shirika linaloshughulika na kusaidia wasiojiweza linalotambulika kwa jina la Humanity and Culture Values ambapo linafanya mkutano wa kitaifa nchini Marekani.

“Mwaliko huu nimeupata kutokana
na mradi ninaouendesha wa kusaidia watu wasiojiweza na walemavu wa
ngozi. Nimefurahi sana kwani wameona umuhimu wangu,” alisema Julieth
ambaye anatarajia kuondoka nchini Septemba 25, mwaka huu.
No comments:
Post a Comment