Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akikata utepe wakati wa makabidhiano ya madawati 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 katika Shule yua Msingi Minazi Mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment