Watoa burudani wakipagawisha wananchi waliofika eneo la stendi ya mabasi Ubungo kushuhudia Droo ya Kwanza ya Shindano la Timiza ndoto yako kwa kushinda Noah leo.
Wakazi wa jiji wakiwa 'busy' kujaza kuponi kabla ya Droo ndogo kuanza.
Droo ndogo ya shindano la Timiza ndoto yako kwa kushinda gari aina ya Toyota NOAH linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, leo linafanyika katika eneo la stendi ya mabasi Ubungo, jijini Dar es Salaam kuanzia saa 9 alasiri.
(Picha zote na Richard Bukos / GPL)
No comments:
Post a Comment