LeMutuZ na J wakeLo katika Poz
Hii ndo fb cover yake mpya LeMutuz.Superb.
Mtoto wa mwanasiasa wa siku nyingi Mh John S.Malecela, William Malecela maruufu kama LeMutuz ,Big Show ambae pia ni kada mkubwa wa CCM leo hii ameonyesha hisia zake za ndani alizonazo juu ya Msanii wa sanaa ya maigizo kitambo (kaole) Christine John aka Sinta ama J-Low wa bongo. LeMutuz ambae ana aka mpya lijulikanalo kama The King of All Social Nertwork Media.Amedhihilisha ilo mara baada ya kubadilisha Wall Cover yake ya Facebook nakuweka Poster inayoonyesha Logo ya kipindi kipya cha Tv cha bibie uyo kinacholushwa DTV kila jumanne saa 3:00 usiku kiitwacho Harusini na Sinta.
Mc GaraB nikaona ni vyema nimuulize Kulikoni kaka mkubwa kuna ajenda gani ya siri kati yao wawili ..Na hivi ndivyo alivyo tiririika LeMutuuz!
"UNAJUA JANA KIONGOZI MMOJA MKUBWA SANA WA CCM NA WAZIRI PIA, ALINIITA THE KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA, CAUSE NO QUESTION THAT I CAN SELL ANYTHING THROUGH MEDIA,Ndivyo alivyoanza Willy ambae pia anasifika sana kwa kupenda kwa Kupiga picha akiwa kapose na wadada warembo akiwaitaSuperB!! then akaendelea kufunguka "AND HERE IS MY BABY-SISTER,(SINTA) WORKING HER ASS OFF TO MAKE IT TO THE TOP, BINADAM WOTE TUNA MAPUNGUFU, BUT I LOVE HER TO DEATH SHE IS MY BEST SUPER FRIEND AND I TRUST HER AND WILL DO ANYTHING IN MY POWER FOR HER!! AND I KNOW SHE 'ILL DO ANYTHING FOR ME IF I ASK, AND THAT IS WHAT FRIENDSHIP IS ALL ABOUT, SO THAANKS Gara B Kubwa, GIMME A TIME I AM A LITTLE BUSY FOR KNOW PUTTING THINGS TOGETHER,"
Nilipo muuliza ananini cha kumwambia Sintah kwa kumalizia haya ndio yake ya Moyoni.."LUV YAH MY SISTER WITH ALL MY HEART!"
Kama haitoshi LeMutuZ ambae pia ametokoelezea kwenye Muvi Mpya ya Queen huyo hiitwayo The Return Of J-Lo .Ameonyesha nia ya kufanya kazi na mimi Mc GaraB siku moja. "LAKINI SOON WILL NEED TO WORK WITH YAH TOO, SALUTE!!" Alimaliza mtu mzima William Malecela ambae ni Baharia wa siku nyingi pia.So stay tuned
Mahojiano aya yamefanyika kupitia Mtandao wa FaceBook
Chanzo cha habari http://mcrugalabamu.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment