Na Gladness Mallya
SISTADUU wa tasnia ya filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekula shavu la kufanya ziara ya kikazi nchini Malaysia na Uingereza.
Rafiki wa karibu wa Odama aliiambia Bongowood kuwa staa huyo aliondoka nchini hivi karibuni baada ya kupata shavu kutoka kwa maprodyuza wa Nigeria ambapo atafanya nao ziara ya kikazi katika nchi hizo mbili kisha atarejea Bongo kuleta maujuzi ya kuendeleza tasnia hiyo.

No comments:
Post a Comment