Hahaha mwe
Nakupendaje dogo langu...
Twime Mwakiluma na mjombaangu Hance Mwaipopo ndani ya nyumba
Bwana na Bibi harusi wa kesho
Walikuwepo pia kutoa burudani
Sabella na dadaetu ndani ya nyumba
Wadada wa Global waliwakilisha
Kushukuru kikwetu zaidi
Ilifika mahala walinibeba juu juu jamn? Sijui ntawalipa nn mie ee Mungu
Mijihela ya kumwaga
No comments:
Post a Comment