Redd’s Miss Kinondoni 2012, shindano
litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012.
Washiriki
wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika picha ya pamoja mara baada
kumaliza mazoezi yao ya kila siku ambayo yameanza Sept 1, 2012 ndani ya
Ufukwe wa Cine Club. Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni 2012
yanatarajiwa kufanyika Ijumaa Sept 14, 2012 katika Ukumbi wa Cassa
Complex Mikocheni.
Washiriki
wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakijinoa kwa kasi ili kuweza kupatikana
Mrembo atakayeiwakilisha Mkoa wa Kinondoni katika Mashindano hayo
kitaifa.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni 2012 wakiwa katika pozi.
Jumla ya warembo 12 wanataraji
kupanda jukwaani kuwania taji la Redd’s Miss Kinondoni 2012, shindano
litakalofanyika Ijumaa Sept 14, 2012.
No comments:
Post a Comment