Redd’s
Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas akiwa ni mwenye furaha baada
ya kutajwa kuwa mshindi na kujinyakulia taji hilo baada ya kuwashinda
warembo wengine 11 katika kinyanganyiro hicho cha aina yake.
Redd’s
Miss Kanda ya Mashariki 2012, Rose Lucas katikati akipunga mkono kwa
furaha akiwa na mashindi wa pili Irine Veda (kulia) na Mshindi wa tatu
Joyce Baluhi mara baada ya warembo hao kutangazwa kuwa washindi wa
shindano hilo lililofanyika mjini Morogoro usiku wa Septemba Septemba 1,
mwaka huu. Warembo hawa wote watashiriki shindano la Redd’s Miss
Tanzania 2012 baadae mwaka huu.
Washiriki wa Shindano la Urembo la Redd’s Miss Kanda ya Mashariki 2012 waliofanikiwa kuingia hatua ya
No comments:
Post a Comment