Mkurugenzi
wa Vipindi na Utafiti kutoka Clouds Media Group Bwa. Ruge Mutahaba
akisoma namba ya mshindi aliyejishindia gari aina ya Vits ambazo
zimekuwa zikitolewa na kampuni ya Push Mobile katika mchakato mzima wa
Tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Kati ni Meneja Masoko wa kampuni ya
Push Mobile Bwa,Rugambo Rodney na shoto ni mmoja wa wakilishi wa bodi ya
Taifa ya michezo ya kubahatisha Bwa.Bakari Maggid wakishuhutia tukio
hilo usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa CCM Kirumba.Mshindi wa gari hiyo aina
ya Vitz alitajwa kuwa ni Bahati Joseph,mkazi wa jiji la Mwanza,mjasilia
mali.
Baadhi
ya mashabiki wakiwa wamejitokeza usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta 2012,linalofanyika kwenye uwanja wa ccm Kirumba.
Msanii wa bongofleva,Bob Junior a.k.a Shombe shombe akitumuiza na densa wake jukwaani
Pichani
kulia ni msanii Recho kutoka THT akiwa sambamba na densa wake
wakionesha umahiri wa kuimba jukwaani mauno kwa mbalii hivi.
Sehemu ya timu ya amsha amsha ya tamasha la serengeti fiesta 2012,kulia ni Dj Fetty,Bonge,Mully
Msanii wa kike anaekuja kwa kasi Recho akiimba kwa hisia jukwaani usiku wa kuamkia leo huu
Sehemu ya umati wa watu ukishangweka vilivyo usiku wa jana huu ndani ya uwanja wa ccm kirumba.
Msanii wa hip hop Roma Mkatoliki akiwa amepozi na mashabiki wake kabla ya kupanda jukwaani usiku wa kuamkia leo
Msanii
Ney wa Mitego kama kawa akikamua kwa hisia mbele ya wakazi wa jiji la
Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa ccm
kirumba.
Msanii Ommy Dimpoz pozi kwa pozi akitumbuiza jukwaani na kundi lake
Mwanadada machachari kabisa awapo jukwaani,Mwasiti akiimba jukwaani
Mzee wa Miduara katika anga ya muziki wa kizazi kipya,AT akiimba jukwaani.
Masharobaro
ndio habari ya mujiniiiii....! Bob Junior na kundi lake wakitumbuiza
kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2012 usiku wa kuamkia leo kwenye uwanja wa CCM
Kirumba,jijini Mwanza.
Mkongwe
wa muziki wa kizazi kipya aka Bongofleva,Prof Jay akishusha mistari
yake kama kawa mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),usikuwa kuamkia leo ndani
ya uwanja wa CCM Kirumba.
No comments:
Post a Comment