Lamar, mmiliki wa Fish Crab ambae pia ndio Producer wa wimbo wa YEYE
Ndio alihusika pia katika uchukuaji wa picha za video ya wimbo huo.
Video inatarajiwa kuwa tayari wiki moja ijayo
Theme ni ndani ya nyumba lakini nje
Mauzo yalifanywa na ZUNGU
Ilikuwefu ni siku ndefu na ngumu, lakini yenye mafanikio.
Tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa uongozi wa LUGALO GOLF CLUB
Kwa kutupa ushirikiano wa kutosha, bila kututoza fedha zozote
Maelezo zaidi jinsi ya kujiunga na CLUB hiyo nitayatoa siku za usoni.
Ila kwa kifupi tu ni kwamba, raia wa kawaida wanaruhusiwa pia kuwa members
Sio lazima uwe mwanajeshi kujiunga na CLUB hiyo
Mimi mwenyewe naenda kujiunga, na nimekwishapata mwalimu wa kunifundisha Golf
Nawahamasisha mkapatembelee, cheki madhari ilivyo nzuri maneno ya Lady jay Dee hayo. Via ladyjaydee
No comments:
Post a Comment