VIONGOZI wa dini,
wamekuja juu na kuonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa Jeshi la Polisi
nchini, baada ya kudaiwa kumuua Mwandishi wa Habari wa Kituo cha
Televisheni cha Channel TEN Mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, maaskofu hao wamesema tabia ya askari polisi kuhusishwa na matukio ya kumwaga damu, haiwezi kukubalika kwa sababu askari hao wanatakiwa kudhibiti vurugu badala ya kumwaga damu.

No comments:
Post a Comment