Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV, anaitwa Brooklyn.
Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee anaitwa Sophy.
Madee na mwanae
Cheki smile hiyoo,ni Malika wa Mwanafa
Binamu na mwanae
Anaitwa Michele wa Mike T
Gelly wa Rhymes na Mwanae anayeenda kwa jina la Queen
Mtoto wa Barnaba huyo anaitwa Steve
Anaitwa Joyce mtoto wake Shilole
No comments:
Post a Comment