Gladness Mallya na Hamida Hassan
TETESI zilizozagaa mtaani zinadai kuwa, msanii wa filamu Bongo, Riyama Ally amejifungua lakini kumekuwa na ugumu wa kuthibitisha kutokana na wahusika kutotoa ushirikiano.
Awali chanzo chetu kilitutonya kuwa, Riyama amejifungua mtoto wa kike katika Hospitali ya Muhimbili lakini alipotafutwa kulikuwa na ugumu wa kumpata.
Ijumaa: Za hapa mama, tumemkuta Riyama?
Mama: (Huku akiwa na wasiwasi), hayupo amesafiri.
Ijumaa: Kwa hiyo kasafiri na mtoto?
Mama: Mmm…, kuhusu mtoto hiyo sijui vizuri, hilo mmelisikia wapi, Riyama yupo kwenye ziara ya kikazi Kigoma.
Ijumaa: Tumesikia alijifungua hivi karibuni ndiyo maana tukasema tuje tumuone.
Mama: Hilo sina uhakika nalo sana.
Ijumaa: Tunashukuru mama.
Mama : Asanteni karibuni, ila nitampigia simu nimuulize kuhusu hilo.
Hata hivyo, Ijumaa linaendelea kufuatilia na ukweli utakapopatikana utaanikwa kwani jambo la kujifungua kwa mwanamke ni la heri na wala si kosa la jinai hivyo hakuna sababu ya msanii huyo kuficha.
TETESI zilizozagaa mtaani zinadai kuwa, msanii wa filamu Bongo, Riyama Ally amejifungua lakini kumekuwa na ugumu wa kuthibitisha kutokana na wahusika kutotoa ushirikiano.
Awali chanzo chetu kilitutonya kuwa, Riyama amejifungua mtoto wa kike katika Hospitali ya Muhimbili lakini alipotafutwa kulikuwa na ugumu wa kumpata.
Msanii wa filamu Bongo, Riyama Ally.
Kujua ukweli wa jambo hilo la heri kwa msanii huyo, Ijumaa lilifunga
safari hadi nyumbani kwao, Mabibo jijini Dar na kumkuta mama yake mzazi
ambapo mahojiano yalikuwa hivi:Ijumaa: Za hapa mama, tumemkuta Riyama?
Mama: (Huku akiwa na wasiwasi), hayupo amesafiri.
Ijumaa: Kwa hiyo kasafiri na mtoto?
Mama: Mmm…, kuhusu mtoto hiyo sijui vizuri, hilo mmelisikia wapi, Riyama yupo kwenye ziara ya kikazi Kigoma.
Ijumaa: Tumesikia alijifungua hivi karibuni ndiyo maana tukasema tuje tumuone.
Mama: Hilo sina uhakika nalo sana.
Ijumaa: Tunashukuru mama.
Mama : Asanteni karibuni, ila nitampigia simu nimuulize kuhusu hilo.
Hata hivyo, Ijumaa linaendelea kufuatilia na ukweli utakapopatikana utaanikwa kwani jambo la kujifungua kwa mwanamke ni la heri na wala si kosa la jinai hivyo hakuna sababu ya msanii huyo kuficha.
No comments:
Post a Comment