Waigizaji filamu mahiri Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, leo wamewaomba radhi Watanzania kutokana na picha za nusu utupu walizopigwa hivi karibuni katika Tamasha la Fiesta. Warembo hao waliyasema hayo katika mkutano na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Habari (Maelezo) jijini, Dar.
Kwa habari zaidi, usikose kusoma gazeti la Risasi siku ya Jumatano.
Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Wilson Makubi (kushoto) akisisitiza jambo kwenye mkutano huo. Anayefuata ni Aunt Ezekiel pamoja na mwigizaji Tino Muya.
PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL
No comments:
Post a Comment