AY
ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya
Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST
GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I
DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi
Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.
![]() |
| AY |

No comments:
Post a Comment