

Tuzo hizi
zilifanyika New-York Marekani jumamosi iliyopita , na lengo lake kuu ni
kuwapongeza wa Africa wanaofanya mambo makubwa nje ya bara hilo.Flaviana Matata mbali na
kujihusisha na urembo pia ana 'Flaviana Matata Foundation' ambayo lengo
lake kuu ni kusaidia katika mambo ya kijamii hasa wasichana, katika
jitihada za kuwawezesha kielimu na kupunguza umasikini.
No comments:
Post a Comment