Wananchi kutoka sehemu mbalimbali
wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya kufanya Maandamano ya Kuadhimisha Siku
ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 .
huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji
akikata utepe katika Kitabu ikiwa ni Ishara ya Uzinduzi wa Mkakati wa
Awamu ya Pili wa Uhamasishaji na Utetezi dhidi ya Ukimwi,huko Mangapwani
Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B katika Maadhimisho ya Siku ya
Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji
akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika
kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 huko katika Mkoa wa Kaskazini Wilaya
ya Kaskazini B Zanzibar.kulia yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pembe
Juma Khamis na kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tume ya Ukimwi Zanzibar
Prof,Saleh Idris Muhammed.
Wananchi wa Vijiji mbalimbali
wamejitokeza katika kuangalia Afya zao katika Vituo vilivyowekwa katika
sehemu ya Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila
ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya
ya Kaskazini B Zanzibar.
Mwananchi wa Kijiji cha Mangapwani
akitoa Damu kwa ajili ya Kuchunguzwa kama ameambukizwa VVU ama bado
katika Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo
Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya
Kaskazini B Zanzibar.
Wananchi mbalimbali waliohudhurika
katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo
Tarehe 1Disemba 2012 . wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa
ajili ya kijifunza masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini
Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment