Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Diamond Platinum,jana kupitia katika website yake aliweza kuandika ujumbe mfupi wa kumpongeza msanii Dully sykes kwa kutimiza miaka kadhaa kwa siku ya jana na ujumbe huo ni huu hapa
"Kiukweli
ni mtu ambae anamchango mkubwa sana katika Safari yangu ya kimuziki
mpaka kufikia hapa...pengine pasingekuwa na uwepo wake huwenda
nisingefika hapa nilipo ni mtu anae nisupport na kuwa nami Bega kwa
Bega kwa kila hatua zangu za kimuziki,kunishauri na kuniongoza katika
njia sahihi ya Tasnia hii ya Muziki wetu na Maisha kwa ujumla....Na kama
ulikuwa haujui tarehe 1 ya mwezi huu wa 12 alipata mtoto mwingine wa
kiume aliyezaliwa Greenwich Hospital Mjini London Uingereza na kumtunuku
ama kumuita jina la Diamond yaani Diamond Sykes"Huo ndiyo ujumbe kutoka
kwa Diamond baada ya Dully kufikisha miaka kadhaa jana.
No comments:
Post a Comment