|
Beki wa Prisons, Jumanne Elfadhil akijaribu kumzuia winga wa Yanga, Simon Msuva |
|
Msuva akiruka daluga la Elfadhil |
|
Msuva akiwatoka mabeki wa Prisons |
|
Msuva akiwachambua mabeki wa Prisons |
|
JJerry
Tegete akimtoka mchezaji wa Prisons, Sino Augustino katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya TZ Prisons Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam jioni hii. Yanga ilishinda 3-1.
|
|
Tegete na Sino |
|
Sino amemgonga kwenye goti Tegete anayeugulia maumivu |
|
Sino anajiandaa kumiliki mpira Tegete akienda chini huku akiugulia maumivu |
|
Tegete akishangilia moja ya mabao yake na Msuva |
|
Tegete na msuva |
|
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Tegete kulia |
|
Hatari kwenye lango la Prisons |
|
Mpira uko nyavuni kulia, kipa wa Yanga Ally Mustafa 'Barthez' akiwa ameduwaa baada ya Prisons kupata bao lao |
|
Kavumbangu akifumua shuti |
|
Kavumbangu akimtoka Elfadhil |
|
Kavumbangu akimiliki mpira mbele ya mabeki wa Prisons |
|
Henry Mwalugala akiwa amelala kuondosha mpira miguuni mwa Nurdin Bakari |
|
Kocha
wa Yanga SC, Mholanzi Ernie Brandts akisalimiana na kocha wa Prisons,
Jumanne Challe kabla ya mchezo baina ya timu hizo jioni Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam. Yanga ilishinda 3-1.
|
No comments:
Post a Comment