Chanzo
cha moto huo inadaiwa ni roli hilo kuangukia eneo hilo la mzunguko wa
barabara na betri ya gari hilo ambalo mara nyingi huwekwa kwenye chesesi
upande wa wa kushoto jirani na tenki la mafuta,liligonga eneo hili na
kupasuka ambapo hali hiyo ilisababisha shoti kali iliyozua moto huo.
Lori la mizigo lenye namba za usajiri T 281 BHG ambalo lilikuwa
likisafirisha shehena ya ngano kutoka jijini Da r es salaam kueleka
mkoani Kigoma.leo asubuhi limepinduka na kuteketea kwa moto ndani ya
mzunguko wa barabara eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment