Baadhi ya wafanyakazi wa
kiwanda cha maguni kilichopo eneo la viwanda kihonda Morogoro mepembana
vikali na walinzi wa kiwanda hicho ambao waliwazuia wafanyakazi hao na
waandishi wawili wa habari kuingia ndani ya kiwanda hicho
Mmoja wa wawafanyakazi
wa kiwanda hicho aliyefahamika kwa jina la Manka Mushi ambaye alioneka
kuwa mstali wa mbele kutetea maslai yake na ya wenzake akiwa chini ya
ulizi mkali wa maaskali wa kiwanda hicho baada ya kuluka ukuta wa
kinwanda hicho.
Kufuatia hali hiyo baadhi
ya wafanyazi hao waliamu kupiga simu kwa mwandishi wa mtandao huu
ambaye alifika eneo la tukio na mwandishi mwenzake wa l.T.V baada ya
waandishi hao kufika eneo hilo la kiwanda wafanyazi hao walilipuka kwa
furaha na kuamu kulisukuma geti hilo kwa lengo la kuwapitisha wanahabari
hao waliokuwa na kamera. Wafanyazi hao kwa umoja wao walifanikiwa kulisukuma geti hilo na kuingia ndani
Hata hivyo katika hali
ya kushangaza walinzi wa kiwannda hicho waliwazuia waandishi hao kuingia
ndani ya kiwanda hicho jambo ambalo lilipingwa vikali na wafanyakazi
hao.
Kufutia walinzi hao kuwa
wachche walizidiwa nguvu na kundi la wafanyazi hao ambao walifanikiwa
kuwapitisha waandishia ambao hadi ofisi ya meneja wa kiwanda hicho
ambaye inasemeka ndiye aliyetoa amari ya waandishi hao kutoluhusia
kuingia ndani ya kiwanda hicho
Katika hatua nyingian
wakatin wafanyazi wazawa wakidai mafao yao wafanyakazi wa
kigeni[Wachini] walimu kuingia ndani ya basi dogo la kiwanda hicho na
kutoka nje
Basi la kiwanda hicho likiwaondoa wachina hao
Manka akiwaongza Waandishi hao ofisi ya meneja wa kiwanda hicho.
Baada ya waandishi hao
kuingia ndani ya kiwanda hicho kwa mbinde walishuhudia baadhi ya
wafanyazi wengine wakiendele na kazi ya kusindika maguni kwenye kiwanda
hicho.
Wakizungumza na waandishi hao wafanayakazi hao waliofura hasira walidai kwamba kutokana na kiwanda hicho kukabiliwa na ukata mkali uongozi uliamua kuwapunguza kazi baadhi ya wafanyazi na kuahidi kuwalipa mafao yao ndani ya wiki moja.
'Wametuambia ijumaa tuje kuchukua mafao wetu tulipofika hapa wametuambia tuje jumamosi ya wiki nyingine ndio leo tumekuja wanatuambaie tuje jumatao huu ni usanii wanaotuletea mimi nimetoka moshi kuja kutafuta sikuja kuuza sura hapa hatuondoki mpaka tulipwe jasho letu'aliseme Manka Mushi kwa jazba kali
Kwa mujibu wawafanyazi hao uongozzi huo umekuwa ukiwazungusha kuwalipa mafao yao hayo hivyo kuamu kudai haki yao kwa nguvu.
Waandishi walifika ofisini kwa meneja wa kiwanda hicho kwa lengo la kusiki akauli ya uongozi wa kiwanda hicho zidi ya madaia ya wafanyakazi hao,hata hivyo katika hali ya kushangaza meneo ja huo alioneka kuwakwepa waandioshi hao kwa kutokea mlango wa nyumba.
Wafanyazi hao walidai kwamba kiwanda hicho kina milikiwa na mbunge mmoja kutoka kanda ya kati ambaye pia ni mfanyabiashra maafuru jijiji Dar es salaam. CHANZO CHA HABARI NA DUSTAN SHEKIDELE BLOG

No comments:
Post a Comment