



Picha Juu
Mamia ya wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kuunga mkono maandamano
yaliyoandaliwa na chadema kupinga Uonevu wanaofanyiwa wabunge wa
Upinzani Bungeni.
Viongozi
wa chadema wakiwa katika mshikamano mkubwa, wakiandamana kupinga vitendo
vya uonevu vinavyofanywa na Spika na Naibu wake dhidi ya wabunge wa
Upinzani.
Katibu
mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwa jukwaani katika mkutano wa
kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika
kiwanja cha mwembeyanga Temeke leo.
Mbunge wa Jimbo la Ubungo-Chadema,John Mnyika akiongea katika mkutano.
Mbunge wa Arusha Mjini-Chadema,Godbless Lema naye akimwaga cheche jukwaani.

Mbunge wa iringa Mjini-Chadema, Pter Msigwa akiunguruma
Mbunge wa Kawe-Chadema,Halima Mdee amesema tukianza 2014 itakula kwetu, tuanze sasa.
Katibu mkuu wa AFP amesema chama chao kinaunga mkono chama makini kama Chadema
Viongozi
wa Chadema wakiwa Meza kuu kutoka kushoto katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa,
Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe na naibu katibu mkuu Mh Zitto Kabwe.Picha
Zote na CHADEMA
CHANZO CHA HABARI MJENGWA Blog.
No comments:
Post a Comment