Mwanamuziki Diamond Platinumz jana mchana aliamua kupiga msosi nyumbani
kwao akiwa na mama yake. ndugu na rafiki zake.Mara nyingi mastaa hawali
home hasa mchana kutokana na mishe nyingi but Diamond aliamua afanye
kweli siku ya jana ili asikose pilau lililopikwa na mama yake. Msosi huo ulikuwa
mpunga wa maana na mazagazaga mengine. angalia picha hizo...
for more photos visit www.this is diamond.com
No comments:
Post a Comment