Mwanamziki wa Bongofleva Bob Junior amesema kuwa muziki wake unakubalika nje
ya nchi ndiyo maana sasa yupo kwenye tour nchi mbalimbali nje ya Afrika.
Tayari mwanamuziki huyo ametembelea nchi kadhaa kikazi zaidi including
Holland,Norway and now yupo Germany, Atakuwa huko kikazi kwa miezi
miwili.
Pia amesema kuwa mwanamuziki wa Bongofleva ili apate shows
nyingi ni lazima akubalike kwa mashabiki wa nchi tofauti. Aliyasema hayo
exclusively na swahiliworldplanet alipoulizwa kuhusu muziki wake na
bongofleva kwa ujumla katika nchi alizotembelea.
No comments:
Post a Comment