Wadau wengi wa chadema wameweza kujitokeza kwa wingi
mahakamani siku ya leo ,
Mpaka sasa Wananchi wa Arusha wanaelekea
katika ofisi ya chadema wakiwa na mabango yakisomeka Mkuu wa mkoa wewe
umechaguliwa na kikwete na Lema ni wa kwetu.

HABARI KAMILI KUWAJIA HAPA BAADAE
CHANZO CHA HABARI 2JIACHIE.COM
No comments:
Post a Comment