Akichangia Makadirio na Matumizi ya Bajeti ya Maji kwa mwaka 2013/14, MNYIKA amesema ikiwa Serikali itatekeleza mpango huo kwa miaka mitatu mfululizo itaweza kukusanya kiasi cha shilingi Trillioni 1.5 ambazo zitatumika kumaliza tatizo la Maji nchi nzima na kulifanya suala hilo kuwa historia.
Katika kuonesha suala la maji linamgusa kila mtu, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhandisi STELA MANYANYA anaingilia kati na kutaka fedha za viburudisho na posho za Wabunge nazo zikatwe ili kuelekezwa kwenye miradi ya maji.
No comments:
Post a Comment