Habari hii na Millardayo.com
Mwigizaji Elizabeth Michael
(Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili
ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya
kuzaliwa April 17 ambapo aliandika kuhusu umri wake kwenye hii picha ya
kwanza ya keki hapa chini ili kuondoa utata ambao ulijitokeza ambapo
taarifa nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine zikisema yuko
chini ya miaka 18.
No comments:
Post a Comment