Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha Star, Rachel
Ndauka jana aliangusha bonge la pati ya kuadhimisha siku yake ya
kuzaliwa ‘bethidei’ ambayo ilitawaliwa na shangwe za hapa na pale
sambamba na vituko vya kila aina.
Sherehe hiyo ilifanyika katika
Ukumbi wa Hazina Lounge uliopo katika Ufukwe wa Coco jijini Dar ambapo
Rachel alitimiza miaka 22 na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo
wasanii wa muziki na filamu huku suala la burudani likishika kasi mwanzo
mwisho.
Habari/picha: Na Gladness Mallya GPL
No comments:
Post a Comment