Taarifa
zimesema kwamba Rapper wa nchini Kenya kwa sasa hivi yuko katika mahaba
mazito na Mtangazaji wa kituo cha radio nchini Tanzania, namzungumzia
Diva Loveness Love wa Ala za Roho, inasemekana mahusiano yao yalianza
wiki za karibuni baada ya Prezoo kudondoka bongo na alialikwa kwenye
kipindi cha Ala za roho ndipo picha zima lilipo anzia, kama utani
wakaanza kutania taniana, sasa usiku wa tukio hawakufanikiwa kwenda out
lakini namba zilibadilishwa pale, kilichofata baada ya hapo sasa Prezzo
akataka kwenda mpaka kwa kina binti lakini akazuiliwa.
Baada ya
kuchekiwa Diva, mwanadada akakataa madai hayo, na kudai kuwa yuko na
boyfriend wake wa kitanzania na PREZZO ni mshikaji tu.
alipovutiwa wire PREZZO jamaa akajaa mzima mzimaaaa, na kutiririka ya moyoni kuwa ni kweli anampenda Diva na mipango mengine inafata.
alipovutiwa wire PREZZO jamaa akajaa mzima mzimaaaa, na kutiririka ya moyoni kuwa ni kweli anampenda Diva na mipango mengine inafata.
No comments:
Post a Comment