KATIKA hali ya kushangaza, mashabiki wameibuka na kumsingizia mtoto wa mwigizaji Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ kuwa ni wa Vincent Kigosi ‘Ray’.
Vincent Kigosi ‘Ray’.
Ishu hiyo imetokea juzikati katika mtandao wa Facebook ambapo awali,
Batuli aliposti picha inayomuonesha akiwa na mwanaye, ndipo shabiki
mmoja alipozua mada kuwa mtoto ni wa Ray.
“Manga Msabaha nitake radhi mwanangu anafanana na Vincent Kigosi jamani? Hunitakii mema wewe…jamani sijazaa na Vincent Kigosi pls wadau huyo siyo mtoto wa Ray mshindwe,” aliandika Batuli.
“Manga Msabaha nitake radhi mwanangu anafanana na Vincent Kigosi jamani? Hunitakii mema wewe…jamani sijazaa na Vincent Kigosi pls wadau huyo siyo mtoto wa Ray mshindwe,” aliandika Batuli.
Chanzo ni Global Publishers
No comments:
Post a Comment