
Ngwea akiwa na msanii M to the P juzi south africa. Kuna taarifa za tetesi kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Hussein Original ambaye yupo Pretoria amesema Ngwear na M to the P ambaye walikuwa room moja wamekutwa wamezima baada ya kuzidhisha madawa ya kulevya...
IRENE MWAMFUPE JAMII BLOG Bado tunafuatilia kwa karibu kujua sababu ya kifo chake.
No comments:
Post a Comment