BALOZI WA TANZANIA AFRICA KUSINI ALIPOWASILI MSIBANI KWA ALBERT MANGWEA.
LIVE
kutoka Mbezi Beach Dar es Salaam - Mh #RadhiaMsuya Balozi wa #Tanzania
nchini #AfricaKusini atembelea nyumbani kwa wafiwa wa Albert Mangweha
Mh
#RadhiaMsuya balozi wa Tanzania Africa Kusini akizungumza na wasanii
pamoja na wadau wa mziki mawili machache na baada ya hapo ameweza
kuondoka kwenye eneo hili la msiba Mbezi Beach
No comments:
Post a Comment