Awali walianza kwa staili ya taratibu, baadaye muziki ulipochanganya
walianza ‘kuchimba’ staili ya kiduku hadi chini huku wakionesha utundu
wa hali ya juu wa kukata nyonga.
“Mh! Leo lazima tumpate mshindi wa kweli, Wolper anayaweza lakini
hata Mona naye yupo fiti daah! Burudani kweli leo hahaha!,” alisikika
mgeni mwalikwa aliyejitambulisha kwa jina moja la Salma na mpaka mwisho,
waalikwa wengi walihitimisha kwa kusema hakuna mshindi.
Habari na Global Publishers
No comments:
Post a Comment