![]() |
Nahodha wa Uganda, Hassan Wasswa kushoto na John Bocco wa Tanzania kulia |
![]() |
Wasswa kulia na Majgwega kushoto wakimdhibiti Nyoni |
![]() |
Richard Kasaga wa Uganda akikabiliana na John Bocco wa Tanzania |
![]() |
Shomary Kapombe akimtoka Nico Wadada |
![]() |
Richard Kasaga akimtoka Mrisho Ngassa |
![]() |
Hamza Muwonge akiwa hewani kudaka mpira wa juu dhidi ya Aggrey Morris wa Tanzania |
![]() |
Mwinyi Kazimoto wa Tanzania akimtoka Said Kyeyune wa Uganda |
![]() |
Kapombe akitafuta mbinu za kumtoka Savio Kabugo |
![]() |
Bocco anapeleka pasi kwa Kazimoto...huku Kasaga akijaribu kumdhibiti |
![]() |
Mpira wa juu unagombewa na wanaume |
![]() |
Wafungwa; Kikosi cha Stars kilichopigwa 1-0 na Uganda leo |
![]() |
Wanaume wa shoka; Kikosi cha Uganda kilichoilaza 1-0 Tanzania nyumbani leo |
![]() |
Mbuzi anapelekwa machinjioni |
![]() |
Ngassa akijaribu kumgeuza Nico Wadada |
![]() |
Huzuni; Mashabiki wa Tanzania kama unavyowaona, furaha yote imetoweka |
![]() | |||
We kocha vipiii; Athumani Iddi 'Chuji' alipasha misuli moto kwa muda mrefu bila kuingia uwanjani, hadi akaamua kurudi kuketi alipoona dakika za nyongeza zimeonyeshwa. |
No comments:
Post a Comment