Elizabeth Michael (Lulu) ashinda tuzo ya Best Actress in Swahili Movies kwenye tuzo za ZIFF.
Elizabeth Michael ama LULU ameshinda tuzo ya mwigizaji bora wa
kike katika tuzo zinazoendelea za ZIFF huko Zanzibar kupitia filamu ya
woman of principles.
Habari zaidi za washindi wengine wa tuzo hizo utazipata hapa hapa zikiwa tayari.
No comments:
Post a Comment