Mwigizaji Irene Uwoya amerejea nchini toka nchini Swaziland alipokuwa kwa takribani wiki tatu.
Irene Uwoya amerejea na salamu toka
nchini Swaziland alizoziandika kupitia ukrasa wake wa mtandao mmoja wa
kijamii alisema…
“Mswat anawasalinmu sana! Nahiv karibun atatinga hapa
nakanipa kibali chakufanyya move na ful suport...I wl prove u
wrong...try me”
Akimaanisha, amerejea nchini na Mswati amnawasalimia sana na
amesema atakuja nchini hivi karibuni na amenipa kibali cha kufanya
Filamu na atanisaidia kwa kila kitu. Nijaribu nitakuthibitishia kuwa
umekosea (Kwa Kiswahili fasaha).
Bado tunamtafuta Irene amabye namba yake ya simu haipatikani kujua kama kauli hii ni ya kweli au anawatania tuu mashabiki wake.
Via Bongomovie.
No comments:
Post a Comment