Jana ulikuwa ni usiku mwingine tena ambao ni wa huzuni baada ya
washiriki wawili kuaga shindano la Big Brother The chase. Baada ya
kudumu kwa wiki saba mwanadada Selly kutoka Ghana na Natasha kutoka
Malawi jana waliaga rasmi shindano na kufanya Malawi kutokuwa na
mshiriki tena baada ya wiki iliyopia Mmalawi mwingine Fatima kutoka.
![]() | |
Selly |
![]() |
Natasha |
Wiki iliyopita washiriki kutoka Tanzania walikuwa salama na leo kama
kawaida nomination zinaendelea na ikifika usiku majina ya wataokuwa
nominated yatatangazwa.
No comments:
Post a Comment