EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, July 23, 2013

Mahakama yaridhia Lwakatare kwenda India kwa matibabu.

Dar es Salaam. 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imempa kibali Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare, akatibiwe nje ya nchi.


 Mkurugenzi wa Usalama wa Chadema, Willifred Lwakatare akizungumza kuhusu hali ya ugonjwa wake akiwa katika Tasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) jijini Dar es Salaam jana

Lwakatare ambaye anasumbuliwa na maumivu ya shingo, kwa sasa amelazwa katika Taasisi ya Mifupa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Moi) kwa uangalizi maalumu na kufanya mazoezi, alipata kibali hicho kwa kuwa anakabiliwa na kesi ya kula njama za kumdhuru Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi, Dennis Msacky.

Wakili wake, Nyaronyo Kicheere alililiambia gazeti hili nje ya mahakama kuwa Lwakatare anatarajiwa kupelekwa India, lakini akasema tarehe ya kusafirishwa inategemea na kukamilika kwa taratibu za hospitali alikolazwa, na kule anakopelekwa.

Mahakama hiyo ilitoa kibali ili akatibiwe nje ya nchi, baada ya Kicheere, kuiomba mahakama hiyo impe kibali ili akatibiwe nje kama ilivyopendekezwa na madaktari wake.

Akizungumza na gazeti hili, Lwakatare alisema ingawa yupo katika uangalizi maalumu, lakini amefikia uamuzi huo aliosema umekuja baada ya kujadiliana na madaktari wanaomuhudumia.

“Bado nafanya mazoezi, lakini kulingana na hali ilivyo imebidi nikae na madaktari nikashauriana nao nimewaomba niende nje ya nchi nikatibiwe kama itawezekana,”alisema Lwakatare.

Alisema pamoja na maombi hayo pia alikuwa anategemea kupata ruhusa kutoka mahakamani kwa sababu jana ilikuwa tarehe ya kuendelea kutajajwa kwa kesi yake baada ya kuachiwa kwa dhamana.
Alisema madaktari wanajaribu kufanya uchunguzi kwa kuzingatia uzoefu wao wao.
Awali aliwekwa katika Kitengo Maalumu cha Uangalizi wa madaktari na mazoezi kwa muda wa siku nne madaktari walimtaka kufanya mazoezi kwa saa tatu kwa siku ili aweze kupona tatizo hilo kabla kufikia hatua ya upasuaji.

Lwakatare ameomba kwenda kutibiwa nje ya nchi baada ya kukaa muda mrefu hospitalini hapo bila mabadiliko yoyote.
Lwakatare alifika Muhimbili Julai 10 kufuatia maumivu ya shingo ambayo chanzo ni chake ni ajali ambayo iliipata mwaka 2002.

Mbali na maombi ya kibali cha Lwakatare kwenda kutibiwa nje ya nchi, Wakili Nyaronyo pia aliiomba mahakama hiyo imchukulie hatua mshirika wa Lwakatare kwenye kesi hiyo Ludovick Joseph Rwezaura kwa kosa la kuandika makala kwenye mitandao ya kijamii, akilenga kujitetea dhidi ya shtaka linalomkabili na Lwakatare


Wakili Nyaronyo alililalamikia kitendo cha Ludovick, akidai kuwa si sahihi kujitetea katika jukwaa lingine nje ya mahakama.
Katika mitandao hiyo Ludovick pamoja na kueleza uhusiano wake na watu mbalimbali akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba na Lwakatare, pia amekanusha tuhuma mbalimbali kuhusu kesi hiyo.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate