Huyu ndio Miss Vyuo vikuu 2013, ni Miss wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dar es salaam anaitwa Severina Emmanuel Lwinga alijishindia milioni moja.
Majaji
Rich Mavoko kwenye stage
Ney wa Mitego nae alipafom
Jack akimtangaza mshindi.
Mshindi wa pili ni Jescar Nassar kutoka IFM Dar es salaam na wa tatu ni Miriam Manyanga kutoka IFM pia.
Mshindi namba 4 ni kutoka St. Augustine na namba 5 anatoka chuo cha Tumaini Kagera.

No comments:
Post a Comment